Wafanyakzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakiwa kwenye foleni ya kupata msosi wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya TBL, kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam.
Wakishindana katika mchezo wa kuvutana kamba
Watoto wa familia ya TBL, WAKICHEZA KWENYE BWAWA.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakishindana kucheza mpira wa miguu ikiwa ni moja ya shamrashamra za hafla ya Siku ya Familia ya TBL, katika ufukwe wa Bahari ya Hindi karibu na Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakishindana kucheza mpira wa miguu ikiwa ni moja ya shamrashamra za hafla ya Siku ya Familia ya TBL, katika ufukwe wa Bahari ya Hindi karibu na Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam .PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG.
Watoto wakifurahia kuchezea vibaiskeli
Wakigongeana glasi zenye vinywaji kwa lengo la kutakiana heri
Vipimo kwa ajili ya afya havikukosekana
Wasanii wa kikundi cha sanaa cha Dar Creator wakitumbuiza wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),katika ufukwe wa Bahari ya Hindi karibu na Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam
Wasanii wa kikundi cha sanaa cha Dar Creator wakitumbuiza wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),katika ufukwe wa Bahari ya Hindi karibu na Hoteli ya Bahari Beach, Kunduchi, Dar es Salaam.
Du maajabu hayo
Baadhi ya viongozi wa TBL wakistarehe huku wakibadishana mawazo
Wakishindana kucheza Water Pole
Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu akiwa na familia yake siku hiyo
Sasa ni wakati wa msosi
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), David Magese (kulia), akimkabidhi mtoto Said Shaban zawadi baada ya kuwa mmoja wa washindi wa mbio za watoto wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo, katika ufukwe wa Bahari ya Hindi karibu, Kunduchi, Dar es Salaam.Kushoto ni Meneja Mauzo wa TBO Kanda ya Kusini, James Bokela.
Sasa ni wakati wa kucheza twist
Bendi ya Mashujaa iktoa burudani murwa