Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

HEKA HEKA ZA KILIMANJARO MUSIC TOUR, IRINGA

$
0
0
Wasanii wa Kundi la Weusi linaloundwa na Joh Makini, Nikki 2, G-Nako toka Kaskazini mwa Tanzania, Jijini Arusha wakitoa burudani kwa wakazi wa mji wa Iringa na vitongoji vyake waliohudhuria katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa CCM Samora Jumamosi Juni 21, 2014.
 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Snura mama wa majanga akiendeleza kutoa burudani huku akiwa sambamba na wacheza shoo wake waliowazungusha kikwetu kwetu wakazi wa mji wa Iringa katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa CCM Samora Jumamosi Juni 21, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Dj Bora wa Muziki wa Kizazi Kipya, Mafuvu akiwajibika katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014, ndani ya Uwanja wa CCM Samora Iringa, Jumamosi Juni 21, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Washereheshaji wa Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014, ambao pia ni watangazaji wa East Africa Radio, Dullah na Sam wakiwajibika ndani ya Uwanja wa CCM Samora Iringa, Jumamosi Juni 21, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Mshereheshaji wa Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014, ambae pia ni watangazaji wa East Africa Radio, Dullah akiwajibika ndani ya Uwanja wa CCM Samora Iringa, Jumamosi Juni 21, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
 Msanii AY akiwapa raha tuuuuuu wakazi wa mji wa Iringa katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa CCM Samora Jumamosi Juni 21, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
 Wasanii Nguri wa muziki wa kizazi kipya AY na MwanaFA wakiwapa kitu roho inapenda wakazi wa mji wa Iringa katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa CCM Samora Jumamosi Juni 21, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
 Msanii Machachali wa muziki wa kizazi kipya toka mkoani Mbeya, Izzo B akiwapa kitu roho inapenda wakazi wa mji wa Iringa katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa CCM Samora Jumamosi Juni 21, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
 Msanii Nguli wa muziki wa kizazi kipya Juma Nature akiwapa kitu roho inapenda wakazi wa mji wa Iringa katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa CCM Samora Jumamosi Juni 21, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Mwasiti akiimba sambamba na shabiki wake katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa CCM Samora Jumamosi Juni 21, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, wa mjini Kigoma Linex Mjeda akiwapagawisha mashabiki wa wakazi wa mji wa Iringa katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa CCM Samora Jumamosi Juni 21, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Mashabiki wa burudani katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa CCM Samora Jumamosi Juni 21, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Nguli wa Muziki wa Kizazi Kipya, Joseph Haule a.k.a Profesa J akiimba katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa CCM Samora Jumamosi Juni 21, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Nguli wa Muziki wa Kizazi Kipya atoa burudani katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa CCM Samora Jumamosi Juni 21, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Rich Mavoko akiwapagawisha mashabiki wa mji wa Iringa waliohudhuria katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa CCM Samora Jumamosi Juni 21, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>