Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

THE THYROID GLAND

$
0
0

Dr Johnny na  Dr Elizabeth
Thyroid gland ni Gland kubwa inayopatikana shingoni. Iko kwa mbele ndani ya ngozi na misuli. Thyroid gland ina shape ya kipepeo ikiwa na mabawa mawili ambayo yanawakilisha upande wa kulia na wa kushoto ambapo yanashikiliwa na mfupa ambao kitaalam unaitwa trachea.

Kazi ya thyroid ni kuzalisha hormone. Hii hormone inashughulika kwa sehemu kubwa kwa ukuwaji wa mwili na utendaji kazi wake.
Matatizo yanayoweza kuipata thyroid Gland


Goiter: Ni uvimbe unaweza kutokea katika eneo la shingo kwa mbele.
Thyroid Cancer: Hii ni hatari sana, ni vizuri kuwa na tabia ya kucheck afya zetu mara kwa mara ili kuweza kugundu matatizo kama haya na kuyadhibiti mapema kabla hayajafika mbali.

Hyperthyroidism: Hii inamaanisha uzalishaji wa hormone unazalishwa kupita kiasi kinachotakiwa kwenye mwili kawaida.

Hypothyroidism: Hii inamaanisha uzalisha wa thyroid uko chini, na hili ni tatizo liko kwa kiwango kikubwa sana katika jamii yetu.

Thyroisitis: Hii inaweza kuwa aidha infection au inflammatory ambayo inajitokeza kwenye thyroids. Hii inaweza kusababisha homa, kuumwa na kichwa sana na matatizo mengine mengi.

Thyroid Gland inapokuwa haiko sawa inaweza pia kusababisha;-
· Kurefuka kupita kiasi
· Kunenepa kupita kiasi
· Kutokurefuka
· Kutokunenepa.

Hii inamaanisha aidha kiwango cha uzalishwaji wa hormone aidha kiko chini au juu.
Kama una moja ya matatizo niliyoyataja hapo juu inawezekana kabisa ukapata dawa katika Clinic yetu.

Wasiliana nasi mapema kabla tatizo halijawa kubwa.
Pia tuna vifaa vya kisasa kabisa vinavyoweza kukueleza kinachoendelea ndani ya mwili wako na jinsi ya kuzuia magonjwa ambayo yanaweza kujitokeza.
Namba zetu ni 0713 306263, 0785 318405, 0763 578057
Tupo Kigamboni.

Tuna dawa zinatibu magonjwa mbali mbali.
Itunze afya yako ikutunze.

CORNWELL TANZANIA… Innovation in healthcare

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>