Ushauri wangu kwa wamiliki wa viwanda vya kutengeneza mvinyo/pombe wawe wanawawekea akiba kwa wateja wao.
MFANO... Kama bia inauzwa 2500/ waanze kuiuza 3000 hiyo 500 iliyozidi wawaweke akiba ya mteja wao baada ya miaka 10 anapewa akiba yake. Unaionaje hiyo? imekaa poa sana kama NSSF vile.
Mteja mmoja akinywa bia 3 kwa siku atakuwa amejiwekea akiba ya tsh. 1,500/ kwa mwezi ni 45,000/ Kwa mwaka 540,000/. Mwisho wa mwaka anaweza kununua matofali 540.
Kibongo cha leo kinatoka kwa hisani ya waalikwa wa harusi ya Kana wakiongozwa na Bw. Onai Joseph.