Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mthibiti na Mkaguzi Mkuuwa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh baada ya kupokea Ripoti ya mwaka Ikulu jijini Dar es salaam leo

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza muhtasari toka kwa Mthibiti na Mkaguzi Mkuuwa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh kabla ya kupokea Ripoti ya mwaka Ikulu jijini Dar es salaam leo
PICHA NA IKULU