Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania (TCRA), Prof. John Nkoma akizungumza jambo wakati wa kufunga Warsha ya Siku mbili kwa Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers) hapa nchini iliyomalizika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Sinza B jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa Waanzilishi wa Mtandao wa Kijamii wa Jamii Forums,Mike Mushi akiwasilisha Mada juu ya namna ya Uendeshaji wa Mitandao ya Kijamii na namna Mtandao wao wa Jamii Forums unavyoendeshwa wakati wa Warsha ya Siku mbili kwa Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers) hapa nchini uliomalizika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Sinza B jijini Dar es Salaam.
Mmiliki Mwenza kwa Mtandao wa Kijamii wa Jamii Forums,Maxcence Mello akifafanua jambo juu ya namna ya Uendeshaji wa Mitandao ya Kijamii na namna Mtandao wao wa Jamii Forums unavyoendeshwa wakati wa Warsha ya Siku mbili kwa Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers) hapa nchini iliyomalizika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Sinza B jijini Dar es Salaam.
Mhadhili wa Maswala ya Habari kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Ndg. Doto Kuhenga akiwasilisha Mada yake ya kuhusu Mwenendo na Utaalam unaopaswa kufuatwa na Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii pindi wafikishapo habari kwa jamii,wakati wa Warsha ya Siku mbili kwa Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers) hapa nchini iliyomalizika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Sinza B jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Viwango na Kanuni za Uandishi wa Habari kutoka Baraza la Habari Tanzania,Mama Pili Mtambalike akiwasilisha mada yake wakati wa Warsha ya Siku mbili kwa Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers) hapa nchini iliyomalizika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Sinza B jijini Dar es Salaam.
Mmiliki wa Mtandao wa Bongo Celebrity,Jeff Msangi akitoa shukrani kwa niaba ya Waendezaji wa Mitandao ya Kijamii waliokuwepo kwenye Warsha ya Siku mbili kwa Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers) hapa nchini uliomalizika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Sinza B jijini Dar es Salaam.
Meneja Mahusiano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Inocent Mungy akieleza jambo wakati wa Warsha hiyo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Tech Wark,Liz Wachura akitoa Mada yake kwenye Warsha ya Siku mbili kwa Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers) hapa nchini uliomalizika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Sinza B jijini Dar es Salaam.
Ulifika wakati wa kupokea vyeti na aliefungua dimba hilo alikuwa ni Ankal Othman Michuzi
Adela Kavishe akipokea cheti.
Geofrey Adolf
Bernard Rwebangira
Jestina George.
Francis Dande
Kambi Mbwana
Josephat Lukaza
Henry Mdimu.
Mike Mushi.
Cathbert Kajuna
Jeff Msangi
Bashir Nkoromo
Shamim Mwasha
Mariam Ndaba
Maxcence Mello
Hugoline Martin
Mroki Mroki
Muhidin Sufiani
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili, mmiliki wa mtandao wa Bongo Celeblate, Jeff Msangi, baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano, yaliyoanza jana Septemba 17 na kumalizika leo jijini Dar es Salaam, huku yakiwashirikisha mablogger mbalimbali kutoka mikoa tofauti ya nchini.
Mmiliki wa Mtandao wa Sufianimafoto, Muhidin Sufiani (kulia) akiwa na mmiliki wa Mtandao wa Bongo Celeblate, Jaff Msangi, wakati wa semina maalum kwa wamiliki na waendeshaji wa mitandao pendwa Bloggers, iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano TCRA, iliyoanza jijini Dar es Salaam, jana ambayo imemalizika rasmi leo.
Mmiliki wa Mtandao wa Mbeya Yetu, Joseph Mwaisango, akichangia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo.
Innocent Mungy wa TCRA, akizungumza wakati wa mafunzo hayo.....
Jestina george, akichangia mada
Jeff Msangi, akichangia mada.
Maxence, akichangia mada.
Mtoa mada, Liz wachuka, akitoa mada...
Sehemu ya waliohudhuria semina hiyo...
Mafunzo yakiendelea
Mabloger, wakiwa makini kunasa kila kinachozungumzwa.
picha ya pamoja baada ya mafunzo.