


Didi Namba wa Diamond Musica akiimba.





Husna Semhando akionyesha umahiri wake wa kunengua.
BENDI ya Diamond Musica na Five Star Modern Taarab usiku wa kuamkia leo ziliwapagawisha vilivyo mashabiki waliohudhuria katika onyesho la pamoja lililofanyika ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live, uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam. Pichani juu ni baadhi ya matukio katika shoo hiyo.
(PICHA ZOTE ISSA MNALLY NA RICHARD BUKOS / GPL)
(PICHA ZOTE ISSA MNALLY NA RICHARD BUKOS / GPL)