Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19764

JESHI LA POLISI LAWEKA ULINZI WA KUTOSHA KATIKA MSIKITI WA MTAMBANI, KINONDONI JIJINI DAR

Jeshi la polisi nchini limeshaweka ulinzi wa kutosha katika msikiti wa Mtambani, Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia choko choko za maandamano zilizopangwa kufanyika baada ya sara ya Ijumaa.
Kwa mujibu wa kamera ya Kajunason Blog iliyoweka kambi eneo la tukio, mpaka sasa gari tatu za polisi zimeshawasili eneo la msikiti huo kuimarisha ulinzi.

Habari zaidi zitaendelea kuwajia, msikose kufuatilia sakata hili.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19764

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>