Picha ya pamoja mara baad ya kuuzinduliwa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 bure jijini Mbeya, hafla hiyo inayoratibiwa na RITA,imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,mkoani Mbeya.Mpango huo umefadhiriwa na mashirika mbalimbali likwemo shirika la UNICEF, DFTDA (iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na Shirika la Wafanyakazi la kujitolea (VSO).
Naibu Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki akizindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, mkoani Mbeya, kulia kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), Philip Saliboko na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini,Dkt.Norman Sigalla na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa bodi ya Ushauri RITA,Bwa.Vincent Mrisho na wageni mbambali wakilishuhudia tukio hilo adhimu kabisa.Shughuli nzima inaratibiwa na RITA.
Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki akimkabidhi mmoja wa akina mama aliyejitambulisha kwa jina la Fides Samson akikabidhiwa cheti cha kuzaliwa cha mtoto wake mwenye umri chini ya miaka 5,mara baada ya kuzindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,mkoani Mbeya.Mpango huo umefadhiriwa na mashirika mbalimbali likwemo shirika la UNICEF,DFTDA (iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na Shirika la Wafanyakazi la kujitolea (VSO).
Baadhi ya akina mama wakiwa na vyeti vya kuzawaliwa vya watoto wao wanye zaidi ya wiki mbili tangu kuzaliwa kwao,mara baada ya kabidhiwa leo na Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki mara baada ya kuuzindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 bure jijini Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,mkoani Mbeya.Mpango huo umefadhiriwa na mashirika mbalimbali likwemo shirika la UNICEF,DFTDA (iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na Shirika la Wafanyakazi la kujitolea (VSO).
Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki akizungumza mbele ya wakazi wa mji wa Mbeya (hawapo pichani) mapema leo wakati alipokuwa akizindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,jijini Mbeya.
Baadhi ya Wakazi wa jijini Mbeya wakiwa wamekusanyika kwenye uwanja wa Ruanda Nzovwe mapema leo wakati wa uzinduzi wa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,jijini Mbeya.
Mwakilishi Mkazi wa shirika la UNICEF hapa nchini, Dkt.Jamal Gulaid Mgeni akizungumza mbele ya wakazi wa mji wa Mbeya (hawapo pichani) mapema leo wakati alipokuwa akizindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,jijini Mbeya.
Baadhi ya akina mama na watoto wao wakifuatilia kwa makini yalikuwa yakijiri kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo inayoratibiwa na RITA imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,jijini Mbeya.
Baadhi ya Wageni waalikwa na wawakilishi kutoka mashirika mbalimbali ya Kimataifa wakifuatilia uzinduzi wa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya.
Mwenyekiti wa bodi ya Ushauri RITA,Bwa.Vincent Mrisho akifafanua jambo kwa Baadhi ya Wakazi wa jijini la Mbeya (hawapo pichani) kuhusiana na uzinduzi wa mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,jijini Mbeya.Aidha Bwa.Mrisho aliongeza kuwa mkakati huo hauwalengi watoto walio chini ya miaka mitano tu bali ni sehemu ya mfumo mpya wenye lengo la kuwapa nafasi wananchi walio zaidi ya miaka mitano kujisajili na kupata vyeti vya kuzaliwa.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini,Dkt.Norman Sigalla (pichani kati) akiwa na Mgeni Rasmi pichani kushoto, Naibu Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki mara alipokuwa akiwasili kwenye uwanja wa Ruanda Nzovwe jijini Mbeya kwa ajili ya kuuzindua mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5 bure jijini Mbeya,hafla hiyo imefanyika mapema leo kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,mkoani Mbeya. Mpango huo umefadhiriwa na mashirika mbalimbali likwemo shirika la UNICEF,DFTDA (iliyokuwa CIDA Canada zamani) pamoja na Shirika la Wafanyakazi la kujitolea (VSO). Picha na Michuzi Media Group-Mbeya.