Image may be NSFW.
Clik here to view.
Jacob Steven 'JB' akijifua kwa ajili ya mpambano wake na Idd Azzan utakaofanyika katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2013.
Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Jb akipiga pushapu kadhaa wakati wa maandalizi hayo.
Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
JB akiwa tayari kumkabili Idd Azzan.MSANII nguli wa Filamu nchini, Jacob Steven 'JB' akifanya mazoezi ndani ya The Atriums Hotel kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wa ndondi kati yake na Mbunge wa Kinondoni, Idd Azzan utakaofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Julai 7 mwaka huu katika Tamasha la Usiku wa Matumaini.
(Picha na Denis Mtima/GPL)
Clik here to view.

(Picha na Denis Mtima/GPL)