Kumekuwa na mchezo wa wanaume wengi kutokupenda kwenye majumbani kwao wakati wa jioni wanapotoka kazini, jibu ni napenda kueleza kuwa sio Wanaume wote wanaochelewa kurudi nyumbani na kuishia Bar after work na kurudi late wanapenda... Wengine ni kwa sababu wanakimbia 'Redio Mbao' za Home, Wanawake ambao wanaongea kama wamemeza Kanda ya Chidumule, Non Stop utadhani wamelipwa na BBC kutangaza habari... If you didn't know, MEN do not like Women who talk too much... Inaboa sana, na ni ngumu kukaa kwenye Mazingira ambayo YANABOA, ndiyo maana hawakai hapo.
Kuishi na Mwanamke anayeongea sana ni sawa na Mzaramo wa Nanjilinji aje mjini harafu umuache Sebuleni umemuwekea Movie ya Kihindi isiyo na Subtitles harafu unamwambia 'ENJOY"
Kila siku utaona wenzio wanakaa na Waume zao vizuri tu na jamaa anasaidia hadi kucheza na mtoto na wewe Mmeo not richabo, wala usijiulize maswali, tatizo ni DOMO LAKO,Too Much!
Imetolewa na
Mkuu wa Chuo cha Mapenzi,
Seth Giovanni.