Mhadhiri Abass Abraham akifafanua jambo mbele ya wananfunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma [UDOM] alipokuwa akitoa mada kuhusu maisha yangu mtandao wangu kwenye kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu lililoandaliwa na Mtandao wa vyuo vikuu Duniani AIESEC.
Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma [UDOM] wakipata maelekezo kuhusu matumizi ya Mtandao wa simu za Mkononi wa Tigo toka kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo baada ya kukamilika kwa kongamano la wanafunzi wa Vyuo vikuu Duniani AIESEC.
Meneja wa Kampuni ya Simu za Mikononi ya Tigo Dodoma Bw. Saitoti Naikara aliyokaa kiti cha Kwanza katikati akipiga makokofi pamoja na wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma [UDOM] wakati kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Duniani AIESEC, alipowakilisha kampuni yake iliyokuwa moja ya wadhamini wa Kongamano hilo.
Mwanafunzi wa Chuo kikuu Cha Dodoma [UDOM] akiunga mkono mpango wa Mtandao wa Vyuo Vikuu Duniani AIESEC wa Kuwataka wanafunzi kuwa na Mtazamo mpya wa Mara baada ya masomo kujiajili badala ya kutegemea kuajiliwa zaidi kongamano hilo lilifanyika jana huku moja ya Wadhamini wakiwa ni Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo.
Meneja wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo Dodoma Saitoti Naikara akimkabidhi Daftari lenye nembo ya kampuni hiyo mmoja wa wanafunzi wa Chuo kikuuu cha UDOM wakati wa Kongamano la Wanafunzi wa Vyuo vikuu Duniani AIESEC lilifanyika jana.
Wanafunzi toka Vyuo vikuu Vya India, Brazil, Uganda na Kenya wakijitambulisha Mbele ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma Wakati wa kongamano la kimataifa la AIESEC lililofanyika jana huku kampuniya simu ya Tigo wakiwa moja ya wadhamini.
Wanafunzi wa Chuo kuu cha Dodoma wakifuatilia jambo wakati wa kongamano la Wanafunzi wa vyuo vikuu Duniani AIESEC lililofanyika jana chuoni hapo la kujitambua kuwa wanaweza kujiajiri badala ya kungojea Ajira mara baada ya masomo yao, kongamano hilo limedhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi Tigo.
[PICHA NA JOHN BANDA]