MSANII DIAMOND AHUDHURIA HARUSI YA MSANII PETER TOKA KUNDI LA P-SQUARE
Msanii wa kizazi kipya Diamond Platnumz jana aliweza kuhudhuria harusi ya Msanii wa Naijeria anayetokea kundi la P-Square ajulikanaye kwa jina la Peter Okoye (pichani). Akiwa na Kukere Master...
View ArticleBEATRICE MROKI ALAMBA SAKRAMENTI YA KIPAIMARA
Novemba 17, 2013 ilikuwa siku ya furaha sana kwa Beatrice Mroki (kushoto) kwa kupata sakrementi yake ya Kipaimara baada ya kuhitimu mafunzo ya miaka miwili katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
View ArticleMWANA FA ASEMA, "MIMI SI FREEMASON"
Mwanamuziki wa kizazi kipya anayefanya vizuri kwenye tasnia hiyo ya Bongo Flava, Mwana FA leo Jumatatu Novemba 18, 2013 alonga na Vijimambo aelezea historia yake kwa ufupi na kwanini yupo Marekani je...
View ArticleNBS KUENDELEA KULINDA UBORA WA TAKWIMU ZAKE BARANI AFRIKA
Kaimu Mkurugenzi wa shughuli za kitakwimu Bi.Aldegunda Komba akitoa ufafanuzi wa ushiriki wa Tanzania katika maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika kwa mwaka 2013. Maadhimisho hayo yatafanyika Novemba...
View ArticleHATUTAKI MASHINE ZA TRA
Katika hali ya kuonyesha kwamba wafanyabiashara wa eneo la kariakoo hawataki wala kusikia kuhusu mashine za T.R.A, Wafanyabiashara hao wameamua kufunga mabango katikati ya mitaa yakiwa na ujumbe wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihudhuria mkutano mkuu wa tatu wa nchi za Kiarabu, 'Afro Arab' uliofanyika leo Nov 19, 2013, nchini Kuwait. Picha na...
View ArticleRAIS KIKWETE AWASILI POLAND KUHUDHURIA MKUTANO WA TABIA NCHI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Warsaw, Poland, kuhudhuria mkutano wa Nchi wanachama wa Mkataba wa Kyoto kuhusu mabadiliko ya Tabia Nchi unaoanza leo Jumanne Novemba 19, 2013PICHA NA...
View ArticleWATU 7 WAMEFARIKI NA WENGINE 5 KUJERUHIWA KATIKA AJALI MBAYA, MOROGORO
Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG
View ArticleWAZIRI MKUU AONGOZA MAHAFARI YA 19 YA CHUO CHA UKUTUBI NA UHIFADHI NYARAKA...
Waziri Mkuu akiwa pamoja na viongozi wa chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (SLADS), Bagamoyo wakati wa mahafari ya 19 ya chuo hicho yaliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.Kila mmoja akijaribu...
View ArticleMAREHEMU DKT. SENGONDO MVUNGI AZIKWA KIJIJINI CHANJALE, MWANGA KILIMANJARO
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha Josephat Lobullu (kulia) na Askofu wa Jimbo la Same Rogath Kimaryo wakiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba...
View ArticleTUKIO LA MAUAJI YA MFANYABIASHARA WA MWANZA ALIYEUA NA KUJIUA ILALA BUNGONI,...
Mfanyabiashara wa jijini Mwanza, aliyefahamika kwa jina la Gabriel Munisi amefanya mauaji kwa watu wawili na kujeruhi mmoja kisha kujiua kwa kujipiga risasi katika tukio lililotokea leo asubuhi eneo la...
View ArticleAIRTEL TANZANIA YAZINDUA PROMISHENI YA MIMI NI BINGWA IKISHIRIKIANA NA KLANU...
Mkurugenzi wa Airtel Tanzania, Bw. Sunil Colaso akielezea jinsi Airtel inavyowathamini wateja wake kwa kuwawezesha kushinda tiketi za kuweza kujionea mechi mojawapo ya Timu ya Manchester United....
View ArticleHATMA YA RAGE DESEMBA MOSI
Kamati ya utendaji ya simba imemsimamisha mwenyekiti wa SIMBA, Ismail Aden Rage kuwafukuza makocha wote wa simba JULIO na KIBADENI.Kaimu mwenyekiti wa Simba JOSEPH ITANGIRE amesema maamuzi hayo...
View ArticleRAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AHUTUBIA UFUNGUZI WA MKUTANO WA KIMATAIFA WA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabia Nchi wa COP19/CMP9 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa wa Michezo wa Poland, mjini Warsaw. Rais Kikwete...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA TAKWIMU AFRIKA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Muimbaji maarufu nchini Tanzania Bi. Stara Thomas akiwasilisha ujumbe kwa njia ya uimbaji kuhusu umuhimu wa matumizi ya Takwimu katika kupanga mipango ya Maendeleo leo jijini Dar es salaam.Naibu...
View Article