MECHI YA SIMBA NA YANGA (WABUNGE)
Rais Kikwete akielekea kukagua timu.Rais Kikwete akisaini mpira utakaotumika....Akiwakagua Yanga...Akiwakagua Simba.Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Eric Shigongo, Waziri Fenella Mukangara,...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA TAMASHA LA MATUMAINI JIJINI DAR ES SALAAM
Muziki wa Injili ulitawala. Hapa Solomon Mukubwa akitumbuiza MC wa Tamasha la Matumaini Godwin Gondwe a.k.a Double G akiwa kazini Bango lajieleza Uzalendo kwanza Nnape Nnauye akiwa na wadau JK akitete...
View ArticleNATEETE TAXI DRIVERS PROTEST HIGH TRAFFIC FINES, UGANDA
Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG
View ArticleTIGO YADHAMINI TAMASHA LA MATUMAINI
Mwanamumiki kutoka Kenya Prezzo akiwaburudisha watanzania waliojitokeza katika Tamasha la Matumaini jana lililodhaminiwa na Tigo.TMK Wanaume wakipafomu kwa staili yao ya kupiga mapanga katika Tamasha...
View ArticleJENGO LA WIZARA YA UCHUKUZI LANUSURIKA KUUNGUA MOTO, JIJINI DAR
Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG
View ArticleMASHINDANO YA RAMADHANI SUPER CUP 2013 KATA YA CHAMAZI KUANZA RASMI KESHO,...
Mashindano ya Ramadhani Super Cup Kata ya Chamazi yanatarajiwa kuanza rasmi hapo kesho tarehe 10 Julai, 2013 yakiwa na lengo la kutoa burudani ya mpira wa miguu kwa wakazi wa Kata ya Chamazi iliyopo...
View ArticleMWANZA MABINGWA ARS 2013
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makala akikabidhi kombe la ubingwa wa Airtel Rising Stars kwa nahaodha wa timu ya Mwanza Kelvin Faru kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya Karume...
View ArticleMSANII LULU NYOTA YAENDELEA KUNG'AA, ATWAA TUZO YA MSANII BORA WA KIKE ZIFF 2013
Na Cathbert Angelo, Zanzibar.MSANII wa filamu mwenye misukosuko nchini Elizabeth Michael maarufu kama 'Lulu' usiku wa kuamkia juzi aalitwaa tuzo ya msanii bora wa kike wa mwaka kwenye tuzo za Filamu za...
View ArticleAGNES JERALD NA MELISA EDWARD WAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA AFRIKA KUSINI.
Wanawake wawili raia wa Tanzania wametambuliwa kuwa ndiyo wanaodaiwa kuingiza shehena ya dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 6.8 nchini Afrika Kusini wakitokea Tanzania.Akizungumza na...
View ArticleRAIS KIKWETE AAGANA NA MABALOZI WAPYA LEO IKULU, DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi saba walioteuliwa hivi karibuni na kuagana nao kabla hawajaripoti kwenye vituo vyao katika nchi mbali mbali leo Ikulu jijini Dar es salaam. Mabalozi...
View ArticleSERIKALI YAOMBWA KUWAWEZESHA VIJANA WANAOHITIMU VYUO VYA UFUNDI
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la PolisiSerikali imeombwa kuwasaidia wajasiriamali wadogowadogo kwa kuwapa vifaa na uwezo wa kujiendeleza ili waweze kudumisha ajira isiyo rasmi na kujikwamua kimaisha.Ombi...
View ArticleZANTEL YAONGEZA NGUVU KATIKA HARAKATI ZA KUPAMBANA NA MALARIA NCHINI TANZANIA
Afisa Biashara Mkuu wa Zantel, Sajid Khan akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kuzindua ushirikiano baina ya kampuni yake na United Against Malaria. Anayetazama kushoto ni Balozi wa Malaria...
View ArticleSEKONDARI HANDENI ZINAKABILIWA NA UPUNGUFU WA WALIMU 100 WA SAYANSI
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, inakabiliwa na upungufu mkubwa wa Walimu wa Masomo ya Sayansi katika shule zake za sekondari wilayani humo.Akizungumza kwa njia ya...
View ArticleMAMA YAKE MSANII PROFESA J, BI. ROSEMARY MAJANJALA AFARIKI DUNIA
Kwa mujibu wa Joseph Haule almaarufu msanii Profesa J, kwamba ilikuwa majira ya saa 1 usiku ndipo walipopata habari ya ajali ya Mama maeneo ya Mbezi mwisho akitokea nyumbani kwangu ninapoishi nae...
View ArticleTANZANIA YAFANYA VIZURI KATIKA NYANJA YA UWEKEZAJI - RIPOTI YA UWEKEZAJI...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) Juliet Kairuki akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi rasmi wa Ripoti ya Uwekezaji ya Dunia ya Mwaka 2013 ambayo imejikita kiundani...
View ArticleWASICHANA 659 WAACHA SHULE ZANZIBAR KWA MIMBA NA KUOLEWA
Na Mohammed Mhina, Jeshi la Polisi- ZanzibarMimba za utotoni zimeelezwa kuwa ni kikwazo kikubwa cha ukuaji wa uchumi kwa nchi masikini ikiwemo Tanzania.Akitoa taarifa ya siku ya Idadi ya Watu Duniani...
View ArticlePRESIDENT KENYATTA TODAY HOSTED THE FOURTH ESTATE FOR BREAKFAST AT STATE...
President Uhuru Kenyatta today hosted the Fourth Estate for breakfast at State House. He reiterated that a free media is at the heart of true democracy. "I am happy that in Kenya, we don’t even have a...
View ArticleMTEJA WA AIRTEL TUMIA AIRTEL YATOSHA JUMBA HILO
Huu ndo mjumba wa kifahari utakaoshinda kupitia droo ya mwisho wa mwezi Hii ni sehemu ya mbele ya Nyumba mojawapo ya AIRTEL YATOSHA.Nyumba hizi zimejengwa kwa mpangilio maalum na wataalam kutoka...
View ArticleTIGO YAZINDUA TAWI JIPYA LA HUDUMA KWA WATEJA MASAKI, DAR
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania Bw. Diego Guiterrez akizungumza na waandishi wa habari na wageni walikwa (hawapo pichani) katika hafla ya uzinduzi wa tawi jipya kwa wateja la Tigo lililofunguliwa...
View Article