Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Browsing all 19914 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM, KINANA AONGOZA MAZIKO YA MUASISI WA TANU, BI. KHADIJA KAMBA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi, akishiriki kubeba jeneza lenye mwili wa Muasisi wa TANU, Khadija Kamba, katika makaburi ya Kisutu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA WAKUBALI MAENDELEO ENDELEVU, WAAHIDI KUYAPELEKA VIJIJINI

Wakati wanachuo wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU) cha mjini Mbeya wakiahidi kupeleka vijijini kampeni ya malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AENDESHA HARAMBEE YA SH. BILIONI 1 KUSAIDIA MFUKO...

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati akizundua Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Udhibiti Ukimwi (ATF) Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam jana.Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA NJOMBE DKT. NCHIMBI ARUHUSU MJANE KUJENGA ENEO AMBALO POLISI...

Mkuu wa mkoa wa Njombe, Dr. Rehema Nchimbi Akizungumza na wafanyakazi wa halmashauri ya Makambako (Picha Hapo Juu)Badhi ya watumishi wa halmashauri ya Mji Makambako wakimsikiliza mkuu wa mkoa alipo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA SULUHU ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA RAIS...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Cuba Marehemu Fidel Castro katika Ofisi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI YALIYOBAMBA LEO; WAKENYA WAANZA KAZI JIJINI DAR ... MBOWE NGOMA NZITO

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. MAGUFULI AMTEUA KAMISHNA WA MAGEREZA CP DKT. JUMA MALEWA KUWA KAMU MKUU...

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAUNGANA NA SERIKALI KUTEKELEZA KAMPENI YA 'MTI WANGU'

Afisa Mazingira wa Manispaa ya Kinondoni, Awadh Jambo (kushoto) na Afisa Mazingira wa Airtel, Ncheye Mazoya wakipanda mti, wakati wafanyakazi wa Airtel waliposhiriki kupanda majani, miti na kuweka...

View Article


WAZIRI LUKUVI ARUDISHA ARDHI YA MKAZI WA KIGOMA KUTOKA KWA RAIA WA KONGO

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKATIBU 32 SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU-CCM, WAPIGWA SEMINA...

Katibu Msaidizi wa CCM, Daniel Zenda akiongoza semina hiyoWashiriki wakiwa kwenye semina hiyo katika Ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya Umoja wa Vijana wa CCM, jijini Dar es Salaam.---Na Mwandishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NMB WADHAMINI MKUTANO WA TBN DESEMBA 5-6, 2016

Mwenyekiti wa muda wa mitandao ya Kijamii Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mkutano mkuu wa chama cha Bloggers Tanzania (TBN)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKALLA AISHUKURU UN KWA MISAADA NA USHIRIKIANO KWA SERIKALI YA TANZANIA

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla amelishukuru Shirika la Umoja wa Mataifa kwa misaada na ushirikiano kwa serikali ya Tanzania ikiwemo huduma kwa kambi za wakimbizi, Mafunzo ya ujasiriamali kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MESSAGE FROM MS IRINA BOKOVA, DG OF UNESCO, ON THE OCCASION OF INTERNATIONAL...

Every year, International Day of Persons with Disabilities is an opportunity for the world to stand together against the discrimination of women and men with disabilities and to raise the flag for...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUZWAGI YAADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI KWA KUZINDUA MAHUSIANO CUP ILI...

Tarehe 1 Desemba kila mwaka ni siku ya maadhimisho ya Ukimwi Duniani,mwaka huu 2016 Kampuni ya Uchimbaji Madini ya dhahabu ya Acacia kupitia mgodi wa Buzwagi uliopo wilayani Kahama mkoani Shinyanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWALIMU AFARIKI KATIKA MKUTANO WA CHAMA CHAO CHA CWT JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwalimu Tuhobwike Mwinuka Mwakatumbula enzi za uhai wake. Jeneza lenye mwili wa mwalimu Tuhobwike Mwinuka Mwakatumbula likiwa ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Wazo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA: TUMIENI BIDHAA ZINAZOZALISHWA NA VIWANDA VYA NDANI

Mwenyekiti wa Kampuni ya Lodhia Group Bw. Arun Lodhia akimpokea Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa ili kuzindua kiwanda cha Lodhia Plastic kinachotengeneza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MREMBO ANNA NITWA AFANIKISHA UKARABATI WA CHOO CHA WODI YA KINAMAMA...

Mlimbwende anayeshikilia Taji la Urembo la Mkoa wa Dodoma (Miss Dodoma 2016/17), Anna Nitwa (wa pili kulia) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini ambaye pia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI WA DODOMA JITOKEZENI KUPIMA MACHO BUREEEE!! DESEMBA 9-12, 2016

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AMEFANYA UTEUZI WA MABALOZI 15

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBN KUFANYA MKUTANO WAO MKUU DESEMBA 5-6, 2016

Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii nchini 'Tanzania Bloggers Network' (TBN) kilichosajiliwa rasmi na Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani, mwezi Aprili, 2015 na kupewa namba ya...

View Article
Browsing all 19914 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>