SHEREHE YA HAKIKA YA MWANAE BAKARI KIMWANGA YAFANA JIJINI DAR
Jana Septemba 13, 2014 ndugu Bakari Kimwanga alifanya sherehe ya Hakika kwa ajili ya mwanae iliyofanyikia nyumbani kwa mama yake mzazi Magomeni jijini Dar. Watu waliohudhuria sherehe hiyo. Vijana wa...
View ArticleYANGA YAIBUKA KIDEDEA TAIFA, YAIKANDAMIZA 3-0 AZAM FC NA KUTWAA NGAO YA JAMII
Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa, kushoto akimtoka beki wa Azam FC, Erasto Nyoni katika mchezo wa Ngao ya Hisani uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanya imeshinda 3-0....
View ArticleUZINDUZI WA VIDEO YA 'KIPI SIJAKISIKIA' NA 'TATU CHAFU' ZA PROFESSA J...
Nguli wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule a.k.a Professa J jana aliweza kufanya vyema katika uzinduzi wa video zake mbili, 'Kipi Sijakisikia' na 'Tatu Chafu' uliofanyika jijini Dar es Salaam....
View ArticleMATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014: FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI...
Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu...
View ArticleCHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO CHAKANUSHA KUFANYA MGOMO
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleAIRTEL YAZINDUA XPRESS SHOP MJINI DODOMA
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt Rehema (kati) akikatata utepe kuashiria kulizindua rasmi duka la Airtel Dodoma lililopo barabara ya Mkuu mkoani humo, anaeshuhudia wakwanza kulia ni mkurugenzi wa airtel...
View ArticleKATIBU MKUU UTUMISHI ATOA SOMO KWA WATUMISHI RS MWANZA
1.KATIBU MKUU UTUMISHI GEORGE YAMBESHI ALIPOKUWA AKIZUNGUMZA NA WATUMISHI WA RS MWANZA.BWANA SAID KITINGA, AKITOA MCHANGO WAKE WAKATI WA KIKAO HICHO.DANNY TEMBA, AKIMSIKILIZA KATIBU MKUU UTUMISHI...
View ArticleASKARI CPL RIZIKI ALIYEGONGWA NA DALADALA ANAENDELEA VIZURI
Hali ya Askari wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina la Riziki, WP 2806 Cpl Riziki, aliyegongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika harakati za kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala...
View ArticleBENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI...
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh, Stephen Masele akizungumza kwenye uzinduzi huo uliovuta hisia za wanakijiji wengi.Naibu Waziri wa Nishati na Madini akizungumza na Wananchi Mkurugenzi Mtendaji wa...
View ArticleCHAZ BABA NUSURA AMUUE MKEWE KWA MAKONDE
Stori: Shakoor JongoPREZIDAA wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel Mbwana ‘Chaz Baba’ anadaiwa nusura amtoe roho mkewe wa ndoa, Rehema Sospeter Marwa baada ya kumpiga na kitu kizito kichwani...
View ArticleNAUKALA NDIMA WALIPANIA TAMASHA LA HANDENI KWETU
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamKUNDI la ngoma za asili lenye kupendwa na wengi jijini Dar es Salaam linalojulikana kama Naukala Ndima, limejipigia debe likisema lina hamu kubwa ya kufanya kazi ya...
View ArticleWAZUNGU WACHANJA MBUGA PEKUPEKU POSTA JIJINI DAR
Licha ya kuwepo kwa madimbwi ya maji yaliyochanganyikana na maji taka kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam , raia hao wa kigeni ambao hawakufahamika wanatoka taifa gani...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TATU WA AFRIKA KUHUSU MASUALA YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano mkuu wa tatu wa Afrika kuhusu masuala ya usimamizi wakodi uliofanyika kwenye...
View ArticleTIGO YADHAMINI MAONESHO YA KUINUA TASNIA YA FILAMU
Meneja wa maonesho ya filamu za Kiafrika Arusha(AAFF), Bi.Mary Birdi akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza mdhamini wa maonesho hayo kampuni ya Tigo, maonesho...
View ArticleSERIKALI YASEMA BUNGE MAALUM LA KATIBA LINA UHALALI KISHERIA NA KISIASA...
Na Magreth Kinabo,DodomaSerikali imesema kwamba Bunge Maalum la Katiba linaendelea kwa mujibu wa Sheria, mjadala wa hoja ya kusitishwa kwa Bunge hilo, umefungwa rasmi leo.Aidha Serikali imewaondoa hofu...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN ZIARANI COMMORO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifuatana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Comoro Dk Ikililou Dhoinine baada ya mazungumzo Ikulu Mjini Comoro jana,...
View ArticleKAMPUNI YA PUMA ENERGY YAMKABIDHI SILIMA MAMILIONI YA WIKI YA NENDA KWA...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia) baada ya kupokea hundi yenye thamani...
View ArticleUMOJA WA MATAIFA KUJADILI UGONJWA WA EBOLA-BAN KI MOON
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki Moon akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) siku ya jumanne ambapo alitumia fursa hiyo kuainisha masuala mbalimbali yatakayopewa kipaumbele wakati...
View ArticleWANAFUNZI NCHINI WAMEHIMIZWA KUSHIRIKI KATIKA MASHINDANO MBALIMBALI...
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), Dkt. Ambwene Mwakyusa (wa kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano uliofanyika...
View Article