Image may be NSFW.
Clik here to view.
Uzinduzi wa BBA 2013 'THE CHASE' kwa Tanzania ulifanyika katika ndani ya kiota cha Samaki Samaki jijini Dar es Salaam huku wageni mbali mbali waliweza kujipatia vinywaji na chakula cha kutosha. Hakika uzinduzi huo ulifana sana kwa vile watu wengi wametokea kuwapenda washiriki na waliweza kuwazungumzia vizuri, tuzidi kumwomba Mungu awasimamie washiriki wetu na waweze kufanya vyema.
Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi akitoa mwongozo wa shughuli za uzinduzi kabla ya kuanza kwa Show ya Big Brother The Chase 2013 Kiota cha Maraha cha Samaki Samaki kilichopo maeneo ya katikati ya Jiji la Dar es salaam.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Kabla ya kuanza uzinduzi wa Show ya Big Brother The Chase 2013 dennis fusi daily news/habari leo ilichezeshwa bahati nasibu ndogo iliyompelekea mdau huyu (kushoto) kuibuka na Tablat mpya kabisa.kulia ni Mshereheshaji wa hafla hiyo,Millard Ayo.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya nchini, mbwene Yessaya a.k.a AY akisoma kikaratasi wakati akimtaja mshindi wa bahati nasibu ya shilingi laki moja.
Pongezi kwa mshindi wa kitita cha sh. laki moja.
bahati nasibu ikiendelea.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Wadau sie tukiwakilisha ndani ya Samaki Samaki, toka shoto ni Missie Populer, Othman Michuzi, B12, Jimmy, Mdau pamoja na Cathbert Angelo 'Kajunason Blog'.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Wakilishi wa Airtel Tanzania, Dangio na Jannet.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Mwandishi wa Habari wa TBC1, Njedengwa akitafakari jambo.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Kila mmoja alikuwa na furaha.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi na akiteta jambo na mshereheshaji wa shughuli hiyo, Millard Ayo.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Mkuu wa Kitengo cha Masoko DStV, Furaha Samalu akiwa na Mkurugenzi wa Heineken Tanzania, Uche Unigwe.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Bahati nasibu ya kufungua box lenye zawadi huku kila mmoja akiwa na funguo yake.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Mmiliki wa Blog hii, Cathbert Angelo nae alipata fursa ya kumchagua mshindi wa bahati nasibu toka katika kuchagua jina toka kwenye kindoo ambapo Asha Baraka alifanikiwa kuwa mshindi na kujipatia kitita cha shilingi laki moja.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Ni shangwe kwa kwenda mbele pale Mtanzania Feza Kessy alipoonekana ndani ya Jumba la Big Brother.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Wadau wakishoo lavu ndani ya Samaki Samaki.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Wengi walikuwa wakifuatilia kwa umakini zoezi hilo.
Blogger's walikifuatilia uzinduzi huo, Kulia; Othman Michuzi na Mariam Ndaba 'Missie Popular'.
Meneja Mahusiano wa Multichoice Tanzania Barbara Kambogi (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa wakiwemo washiriki ambao walishawahi kushiriki BBA miaka iliyopita.
Meneja Mahusiano wa Multichoice Tanzania Barbara Kambogi (wa pili kushoto) akiwa pamoja na washiriki ambao walishawahi kushiriki BBA miaka iliyopita.
Msanii wa kizazi Kipya Ommy Dimpoz, akiwa na mtangazaji wa Clouds Fm, Hamis Mandi 'B-12'.