HII NDIYO INAYOSEMEKANA KUWA NI NYUMBA YA MH. MBUNGE WA MTWARA VIJIJINI BI. HAWA GHASIA AMBAYO IMEHARIBIWA NA MAWE NA KISHA KUTEKETEZWA KWA MOTO.
BAADHI YA WANACHI WA MKOA WA MTWARA WAKIWA KATIKA MAPAMBANO HAYO.
INAYOSEMEKANA KUWA NI NYUMBA YA MBUNGE MSTAAFU NA MWENYAKITI WA CCM MKOA WA MTWARA IKIWA IMWHARIBIWA KWA MAWE NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI.
STENDI KUU YA KUU YA MKOA WA MTWARA KAMA INAVYOONEKANA IKIWA HAKUNA IDADI KUBWA YA WATU MAJIRA YA SAA KUMI JIONI WAKATI WA VURUGU HIZO.
BARABARA ZOTE ZA MJINI MTWARA ZILIFUNGWA NA HII NI MOJA YA BARABARA ZA MTAA WA SINANI.
MOTO ULIOWASHWA KATIKATI YA BARABARA. BAADA YA BARABARA HIZO KUFUNGWA.
HALI SI HALI.
BARABARA HAZIPITIKI.
|
PICHA NA BLASIO KACHUCHU, MTWARA. |