Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19761

MSANII DIAMOND AWA GUMZO KATIKA MKUTANO WA HADHARA WA CCM MJINI MOROGORO


Image may be NSFW.
Clik here to view.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul 'Diamond' akishambulia jukwaa wakati wa mkutano huo wa hadhara wa CCM uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Morogoro leo, wakati wa hitimisho la ziara ya siku nane katika wilaya sita za mkoa wa Morogoro ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulhaman Kinana.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
  Baadhi ya maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa CCM kwenye Uwanja wa Kiwanja cha Ndege wa mjini Morogoro, wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili Uwanjani hapo, leo.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Msanii Nasibu Abdul 'Diamondi' akiwa amebebwa na wasanii wake kukoleza manjonjo alipotumbuiza kwenye mkutano wa hadhara wa CCM, mjini Morogoro. Picha na Bashir Nkoromo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19761

Trending Articles