$ 0 0 Akina mama wakiwa wamepanda baiskeli ya miguu mitatu (gutta) pamoja na mizigo yao wakifika eneo la Posta jijini Dar es Salaam. Mwanawake hao huwa wanaleta mizigo yao kwa kutumia usafiri huo huku nao wakiwa wamepanda.