$ 0 0 Uwanja wa mpira wa biafra ulivyojaa maji baada kuwekewa kifusi wakati wanatengeneza barabara ya kuelekea Biafra kwenda Best Bite.Kokoto zikiwa zimekusanywa mwezi wa 6 sasa tokea kusimama kwa barabara iliyokuwa unatengenezwa.