$ 0 0 Ninafuraha sanaaa, napenda kumshuruku mwenyezi Mungu kwa siku ya leo, ni siku ambayo nilizaliwa, nimeweza kufikisha miaka kadhaa katika maisha yangu. Mungu ni mwema. Nawapenda sana watu wangu wote ambao mmekuwa pamoja na mimi. Happy Birthday to me.