Hapa ni wakati anawasili mahakamani, Bi Kajala Masanja huku akisindikizwa na Askari Magereza
Muda wa kujadiliana mambo mawili matatu ulikuwepo ndani ya mahakama
Elizabeth Michael a.k.a Lulu alikuwepo naye kusikiliza hukumu ya swahiba wake, yasemekana walikuwa karibu sana walipokuwa wote rumande keko
Hukumu ilipotolewa, Kajala alishindwa kujizuia, akajikuta akitokwa na machozi tu
Baada ya hukumu askari Magereza wakatimiza jukumu la kumpeleka kwenye gari ili kurudishwa keko akaanze kutumikia kifungo.
Hapa akipandishwa tena kwenye gari la magereza ili kama akishindwa kulipa, basi, ...angepelekwa. |
Cheni na Lulu walikuwa mstari wa mbele katika kujadiliana jinsi ya kutatua tatizo |
Baada ya zoezi la faini kukamilika, akaamriwa sasa atoke garini na kurudi nyumbani |
Baada ya kutenda Wema, Wema akiondoka eneo la tukio
Picha kwa hisani Mdimuz Blog.