Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

KAMATI YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA USAFIRI WA TRENI YA DAR ES SALAAM

$
0
0
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (mwenye suti nyeusi), akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa kamati ya Miundombinu wa namna usafiri wa treni Dar es Salaam unavyofanya kazi, katika kituo cha Stesheni ya Dar es Salaam leo asubuhi . Kamati ya Miundombinu imetembelea usafiri wa treni ya Dar es Salaam ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) kujionea namna usafiri huo unavyofanya kazi.
Wabunge wa kamati ya Miundombinu wakiwa katika mojawapo ya mabehewa yanayofanya safari zake kutokea stesheni ya Dar es Salaam mpaka Ubungo. Kamati ya Miundombinu imetembelea usafiri huo na kujionea namna unavyofanya kazi leo asubuhi ambapo walipanda treni hiyo kutokea Stesheni ya Dar es Salaam mpaka Ubungo na kurudi.
 Mhandisi Richard Lauwo, akitoa ufafanuzi wa sehemu za kupandia treni(Platform) zilivyojengwa na Kampuni Miliki ya Rasilimali za Reli( RAHCO) kwa Mwenyekiti ya Kamati ya Miundombinu, Mhe. Peter Serukamba(Mb), katika stesheni ya Ubungo Maziwa leo asubuhi wakati kamati hiyo ilipofanya ziara kujionea namna usafiri huo unavyofanya kazi.
 Mwenyekiti wa kamati ya Miundombinu, Mhe. Peter Serukamba (Mb) akishuka kwenye Stesheni ya Dar es Salaam mara baada ya kumaliza ziara iliyoifanya na wajumbe wa kamati hiyo leo asubuhi. Kamati ya Miundombinu imefanya ziara hiyo ili kuona namna usafiri wa treni ya Dar es Salaam unavyofanya kazi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>