Cosmas Milanzi akiwa ‘amejaa kujiamini’.

SHINDANO la The Mic King limezidi kupamba moto ndani ya ukumbi wa Dar Live ulioko Mbagala-Zakhem, jijini Dar es Salaam, jana Jumapili ambako washiriki 11 walitoana jasho katika kuonyesha umahiri wa kuchana mistari ya hip hop.
Shindano hilo lilihudhuriwa na warembo watakaoshiriki shindano la Miss Utalii Taifa ambao wanafanya mazoezi ndani ya ukumbi huo.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY / GPL)
Shindano hilo lilihudhuriwa na warembo watakaoshiriki shindano la Miss Utalii Taifa ambao wanafanya mazoezi ndani ya ukumbi huo.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY / GPL)