Watu 6 wamefariki Dunia na wengine ambao idadi yao haijajulikana wamejeruhiwa vibaya baada ya Basi la Mohamed Trans lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Dar es Salaam kupinduka katika eneo la Makomero mpakani mwa Singida na Tabora majira ya mchana.
Habari kamili zitawajia zaidi tutawajuza...