Miss Afrika Kusini, Rolene Strauss mwenye umri wa miaka 22 amefanikiwa kutwa taji la Miss World 2014 ,mshindi wa pili katika shindano hilo lililofanyika usiku wa leo Dec 14,Jijijni London ni Miss Hungary, Edina Kulcsar, naye Mrembo kutoka Marekani, Miss United States, Elizabeth Safrit, amefanikiwa kuwa mshindi wa tatu.
Miss Gabon, Miss Ethiopia, Miss Curacao and Miss Chad katikati ya jukwaa.
Mchuano ukiendelea kwa Washiriki kutoka mataifa 120 ambapo Mshiriki kutoka Thailand ndiye mshindi wa 'People Choice' nafasi pekee aliyo itegemea mshiriki kutoka Tanzania Miss Happiness Watimanywa.
Ifuatayo ni orodha ya kumi bora (Top 10)1st Place - INDIA ,2nd Place - SOUTH AFRICA,
3rd Place - ENGLAND, 4th Place - GUYANA, 5th Place - BRAZIL, 6th Place - HUNGARY,7th Place - KENYA,8th Place - UNITED STATES,9th Place - MEXICO, 10th Place - AUSTRALIA.
Beauty with a Purpose Winners Pics!
Miss Japan Hikaru Kawai (left) and Miss South Korea Song Hwa-young get their moment in the limelight.
Miss Tukery and Miss Zimababwe lead contestants across the stage.
Miss Serbia Milica Vuklis (centre) parades between Miss Vietnam Loan Nguyen Thi (right) and Miss Montenegro Natasa Novakovic.
Andrea Forfori Aguilera, Miss Bolivia, looks ready to fight for the crown.
Former Blue Peter presenter Tim Vincent hosted this year's contest alongside the reigning 2013 Miss World Megan Young.
Finally, after much deliberation, Rolene Strauss of South Africa was named the winner
Miss England and Miss Australia congratulate the new Miss World
The new Miss World is a 22-year-old medical student
Rolene received the Miss World crown from 2013 winner Megan Young
Miss World 2014 Is............. Rolene Strauss SOUTH AFRICA!!!!!!!!
Miss World with her runners-up Miss Hungary Edina Kulcsar and Miss United States Elizabeth Safrit