Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea picha ya mji wa Jerusalemu kutoka kwa Kadinali Pengo katika chakula cha jioni kilicho andaliwa katika makazi kadinali pengo kurasini kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa kanisa Katoliki la Kibiti Mkoani Pwani Waziri Mkuu alikuwa mgeni rasimi katika shughuli hiyo ambapo kulipatikana pesa tasilimu na ahadi shilingi milioni miamoja ishirini na saba laki nne na tisini elfu.
Mtoto Dorothea Elias Simkwayi (14) anayesoma shule ya wasichana Jangwani akimuahidi Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuchangia Shilingi elfu arobaini kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa kanisa Katoliki la Kibiti Mkoani Pwani aliye keti ni Mke wa WAziri wa Madini Mh Chales Kitwanga Waziri Mkuu alikuwa mgeni rasimi katika shughuli hiyo ya Kuchangia iliyo fanyika katika makazi Kadinali Pengo Kurasini ambapo kulipatikana pesa tasilimu na ahadi shilingi milioni miamoja ishirini na saba laki nne na tisini elfu.
Wasaidizi wa Mh Waziri Mkuu wakimuunga mkono katika kuchangia
SHUGHULI HIYO ILIFANYIKA TAREHE 6 DEC 2014 JIONI