Taarifa za kufutiliwa mbali kwa kesi inayomkabili rais Uhuru Kenyatta,zilipokelewa kwa furaha na bashasha na rais, ambaye , hangeficha furaha yake. Kupitia mtandao wa kijamii, na pia maneno yake, rais alionyesha furaha yake, na kusisitiza kuwa kesi hiyo ilianzishwa pasi na uchunguzi kamili kufanywa na upande wa mashtaka.
↧