Asia Kinjenga wa pili kulia akiwa na wahitimu wenzie wa mahafali ya 48 katika chuo kikuu cha Dar es salaam.
Asia Kinjenga akiwa na familia yake.
Asia Kinjenga kulia akipongezwa kwa kuvalishwa shada la maua na mama yake mzazi Bi. Anchimole Lutengano wakati wa mahafali ya 48 ya chuo kikuu cha Dar es salaam hivi karibuni.
Asia Kinjenga katikati akiwa na mama yake mzazi Anchimole Lutengano kulia na bibi yake wakati wa mahafali ya 48 ya chuo kikuu cha Dar es salaam hivi karibuni.