Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

AIRTEL TANZANIA YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA, DAR

$
0
0
Mkurugenzi mkuu wa Airtel Tanzania Bw Sunil Colaso akiongea na wafanyakazi wote pamoja na wanahabari leo hii (hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja leo katika makao makuu ya Airtel, Airtel inaadhimisha wiki hii kwa kuwashuru wateja wake wote, kuongeza motishaa kwa watoa huduma wake wote nchini kuendelea kuhudumia wateja, pamoja na kuhamasisha kila mtoa huduma nchini kufahamu umhimu wa mteja.
Wakurugenzi wote wa Airtel wakiongozwa na mkuu wao Sunil Colaso (kati) wakikata keki leo wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja ambapo inaadhimishwa duniani kote kuanzia tarehe 6, Airtel imejipanga kuadhimisha wiki hii kwa kuwashuru wateja wake wote, kuongeza motishaa kwa watoa huduma wake wote nchini kuendelea kuhudumia wateja, pamoja na kuhamasisha kila mtoa huduma nchini kufahamu umhimu wa mteja.
Mkurugenzi wa Airtel huduma kwa wateja Bi Adriana Lyamba akiongea na wafanyakazi wote pamoja na wanahabari (hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja leo katika makao makuu ya Airtel, Airtel inaadhimisha wiki hii kwa kuwashuru wateja wake wote, kuongeza motishaa kwa watoa huduma wake wote nchini kuendelea kuhudumia wateja, pamoja na kuhamasisha kila mtoa huduma nchini kufahamu umhimu wa mteja.
Meneja wa huduma kwa wateja wa Airtel Bw, Deo Hugo akielezea jinsi Airtel ilivyojipanga kutimiza dhamira yake ya huhudumia wateja vyema hata baada ya wiki ya huduma kwa wateja kuisha, moja kati ya huduma zitakazoendele ni pamoja na kuwatembelea wateja kwenye soko, kuwapigia simu na kujadili nao mambo muhimu ya mawasiliano.
Baadhi ya wateja na wafanyakazi wa Airtel wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja leo katika duka la Airtel Tanzania jijini Dar es salaam Moroco.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles