Washiriki wa shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 wakiwa katika shindano la kukimbia kwa magunia katika siku ya michezo ya shindano hilo kwenye ukumbi wa Escape one kutoka kushoto ni mrembo Dorice Mollel, Rachal Clavel, Sophia Masei na Patricia Ponsian, katika mashindano hayo jumla ya warembo 30 wa shindano la Reed's Miss Tz 2014 wanashiriki na kumtafuta mshindi wa jumla atakaeweza kuingia moja kwa moja katika hatua ya kumi na tano bora.
↧