Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Mkurugenzi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege (kushoto) akiwakaribisha wageni waalikwa na waandishi wa habari waliofika kweye mkutano wao uliofanyika Jana kwenye ofisi za MISA Tanzania zilizopo jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi msaidi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Andrew.
Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Jana imekutana na waandishi wa habari na wadau tofauti katika kuadhimisha Siku ya haki ya kupata taarifa kimataifa amabayo huadhimishwa kila mwaka Septemba 28.09.2014 katika ofisi zao zilizopo kinondoni Mkwajuni Jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi msaidi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Andrew Marawiti (kulia) akizungumza jambo mbele ya waandishi wa habari(hawapo pichani) kwenye siku ya kimataifa ya haki za kupata taarifa zinazoadhmishwa septemba 28 kwa kila mwaka.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Mkurugenzi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wagene waalikwa (hawapo pichani) kwenye siku ya kimataifa ya haki za kupata taarifa zinazoadhmishwa septemba 28 kwa kila mwaka. kwenye ofisi za MISA Tanzania zilizopo jijini Dar es Salaam.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Mkurugenzi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi
ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon
Berege (kushoto) akikata utepe wakati wa uzinduzi rasmi wa chapicho la ripoti ya matumizi bora ya utoaji wa habari katika sekta za umma hapa nchini.

Berege akiwaonesha waandishi wa habari pamoja na wageni waalikwa kitabu cha ripoti ya haki ya kupata taarifa halali katika sekta za umma.

Berege akitangaza taasisi iliyochukua tuzo ya Kofuli la Dhahabu kwa kubana sana taarifa kwa mwaka 2014.

Berege akionesha tuzo ya Kufuli la Dhahabu kwa kubana sana taarifa kwa mwaka 2014 iliyokwenda kwenye Idara ya Mahakama.

Berege akitangaza taasisi iliyochukua tuzo ya Ufunguo wa Dhahabu kwa mwaka 2014 kwa kutoa taarifa bila kificho kwa mwaka 2014

Berege (kulia) akimkabidhi tuzo ya Ufunguo wa Dhahabu Kaimu Mkurugenzi wa Shighuli za Takiwimu ofisi ya Taifa ya Takimu Bi. Aldegunda Komba(kushoto) kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya haki ya kupata taarifa jana jijini Dar es Salaam

Kaimu Mkurugenzi wa Shighuli za Takiwimu ofisi ya Taifa ya Takimu Bi. Aldegunda Komba akionesha tuzo hiyo kwa waandishi wa habari pamoja na wageni waalikwa waliofika kwenye ofisi za Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) zilizopo eneo la Mkwajuni, Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Kaimu Mkurugenzi wa Shighuli za Takiwimu ofisi ya Taifa ya Takimu Bi. Aldegunda Komba akizungumza na vyombo vya habari baada ya taasisi yaokutwaa tuzo ya Ufungu wa Dhahabu.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Afisa utafiti na maelezo wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi
ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Sengiyumva Gasirigwa akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kwenye siku ya kimataifa ya haki ya kupata taarifa ambayo uadhimishwa septemba 28 kwa kila mwaka.

Clik here to view.![]()
Clik here to view.
Baadhi ya wageni waalikwa pamoja na waandhishi wa habari wakifuatilia shughuli zima iliyokuwa inaendelea kwenye ofisi za Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) zilizopo jijini Dar es Salaam.
Siku Ya Kimataifa Ya Haki Ya Kupata Taarifa