Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Serikali za Mitaa na Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangallah akitangaza nia yake ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania leo September 7, 2014 jijini Dar es Salaam mbele ya waandishi wa habari.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Serikali za Mitaa na Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangallah akimpa mwanae HK Jr kwa mama yake mzazi Bagaile. Pembeni ni baba yake Mzee Nasser Said Mussa.