Profesa Pais, akitoa mafunzo hayo kwa madaktari na wauguzi wa hospitali teule ya wilaya ya Biharamulo.
Kibao kinachoitambulisha hospitali ya Biharamulo.
Titi lenye saratati likifanyiwa uchunguzi.
Wauguzi, madaktari na wafanyakazi wa hospitali hiyo wakipata mafunzo.
Wauguzi, madaktari na wafanyakazi wa hospitali hiyo wakipata mafunzo.
Wafanyakazi hao wakipiga makofi kupongeza mafunzo hayo.
Wauguzi wa Hospitali hiyo wakiwa kwenye mafunzo hayo.