Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19766

MAONESHO YA BIDHAA ZA KICHINA YAZINDULIWA RASMI DIAMOND JUBILEE

Meneja Uwekezaji wa Ndani Tanzania Mathew Mnali akihutubia katika mkutano huo.
Meneja wa Uwekezaji wa Ndani Ndugu Mathew Mnali akifungua kongamano la uwekezaji.
Mh Kigoda pamoja na Balozi wa China Mh Lu Youging wakikata utepe kufungua maonesho ya bidhaa za China.
Mkutano wa uwekezaji baina ya wawekezaji.
Wananchi kutoka nchini China katika kongamano la uwekezaji.
Waziri wa Viwanad na biashara Mh Abdala Kigoda akifungua maonesho ya bidhaa za kichina.Image may be NSFW.
Clik here to view.
Waziri wa Viwanda Mh Abdal Kigoda akipeana mkono na balozi wa china Lu Youging ishara ya ushirikiano.
Waziri wa Viwanda na Biashara Abdala Kigoda akiangalia trekta katika maonesho hayo.
Waziri wa viwanda na Biashara Abdala Mh Dr Kigoda akisalimiana na mmoja wa Wachina katika maonesho hayo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19766

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>