Abiria wakwama njiani zaidi ya masaa 6 abiria ambao walikuwa wanaelekea mwanza na gari la princes shabaha wamezidi teseka huku hawajui hatima yao ya safari.
Gari hilo lenyenamba za usajili T102 AVX Wamekwama maeneo ya kibamba jiji dar es salamu huku kina mama na watoto wakizidi teseka.
Mama Huyu Akiteseka na mtoto mdogo.
Baadhi ya abiria wakijadiliana nini cha kufanya ili wapate usafiri mwingine.
Hizi ndio namba za basi hilo.