Mwenyekiti wa Kamati namba moja ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ummy Ali Mwalimu akimlisha keki mtumishi wa Bunge hilo, Leila Mgonya katika shehere ya kumwuaga baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania. Awali alikuwa ni Msaidizi wa Waziri Mkuu.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe. William Lukuvi , akimlisha keki mtumishi wa Bunge hilo, Leila Mgonya katika shehere ya kumwuaga baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania. Awali alikuwa ni Msaidizi wa Waziri Mkuu.
Mwenyekiti wa Kamati namba moja ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ummy Ali Mwalimu akimkabidhi kadi ya hongera mtumishi wa Bunge hilo, Leila Mgonya katika shehere ya kumwuaga baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania. Awali alikuwa ni Msaidizi wa Waziri Mkuu. (Picha zote na Kamati ya Bunge Maalum la Katiba).