Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti cha Mikocheni (MARI), Dk. Andrew Ngereza akitoa historia fupi ya kituo hicho wakati akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari katika semina ya siku moja iliyoandaliwa na Jukwaa la Bioteknoloji Tanzania (OFAB)
Mkurugenzi wa Sayansi Hai wa COSTECH, Dk.Flora Tibazarwa akitoa mada katika semina hiyo.
Mtafiti Kiongozi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Nicholas Nyange (kulia), akielekeza jambo wakati wa semina hiyo.
Mtaalamu wa masuala ya Bioteknoloji, Dk. Emmarold
Mneney akitoa mada kwa wahariri.
Mneney akitoa mada kwa wahariri.
Mwakilishi wa UN-NEPAD, Profesa, Dirian Makinde (kulia), akitoa mada kuhusu matumizi sahihi ya Uhandisi Jeni.
Mtafiti Dk. Fred Tairo (kushoto), akiwaelekeza jambo wahariri hao, baada ya kutembelea Maabara ya Uhandisi Jeni iliyopo katika Kituo hicho.
Mtafiti Christine Kidulile (kulia), akitoa maelezo kwa wahariri kuhusu kazi zinazofanyika katika Maabara ya Uhandisi Jeni.
Mtafiti wa Msaidizi wa kituo hicho, Sylvia Msangi (kushoto), akiwaonesha wahariri hao bastola maalumu ya kuingizia Jeni katika mimea.
Miche ya mihogo ikiwa katika maabara maalumu baada ya kuoteshwa.
Mkurugenzi wa Sayansi ya Viumbe Hai wa COSTECH, Dk.Flora Tibazera akitoa mada katika semina hiyo.
Mtaalamu wa masuala ya Bioteknoloji, Dk. Emmarold Mneney (kushoto), akitoa mada kwa wahariri.
Mwakilishi wa UN-NEPAD, Profesa, Dirian Makinde (kushoto), akitoa mada kuhusu matumizi sahihi ya Uhandisi Jeni.
Wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kwenye semina hiyo.
Wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kwenye semina hiyo.
Na Hellen Kwavava wa Kajunason Blog, Bagamoyo.
Zaidi ya wanafunzi 500 wamedhaminiwa kusomea masomo ya utafiti hasa yanayohusu kilimo kwa ngazi ya elimu ya juu ilikuifanya sekta hiyo kuendelea kuwa hai nchini.
Imeelezwa kwamba hadi sasa kuna jumla ya taasisi navyuo 88 zinazofanya tafiti nchini.
Akiwasilisha mada katika mkutano na waandishi wa habari ulioandaliwa na Kituo cha Utafiti Mikocheni, Mkurugenzi na Sayansi na Viumbe hai Flora Tibazarwa wameamua kuwekeza katika elimu kwani watafiti wengi waliokuwepo hapo wamefikia umri wa kustaafu hivyo taaluma hiyo inaweza kupotea kama wasipowaandaa watafiti wengine wapya mapema.
Aidha dkt.Tibazarwa ameeleza kuwa wameamua kuboresha miundo mbinu yao ilikuwezesha tafiti zote zinafanyika katika sehemu sahihi na zinazoeleweka.
Hata hivyo imeelezwa kuwa kwa sasa kuna matokeo mengi mazuri katika tafiti zilizofanywa hapo awali ambapo kwasasa Tume hiyo imejipanga kutoa tafiti nyingi na zilizo na viwango.
Zaidi ya dollar billion 6.4 zimeweza kuokolewa kutoka July 2004 hadi June 2014 kutokana na matumizi ya gesi asilia yaliyoanza kutumika nchini.
Imeelezwa kwamba uchumi wanachi unaongezeka kwa kasi kutokana na matumizi ya gesi asilia iliyopo.
Hayo ameeleza Mkurugenzi wa masoko na vitega Uchumi Mhandisi Joyce Kisamo katika shirika la maendeleo ya petrol Tanzania (TPDC) wakati akiwasilisha mada katika semina na waandishi wa habari iliyofanyika Bagamoyo.
Naye Kaimu Mkurugenzi wa TPDC James Andilile amesema kwamba wanahitaji wawekezaji wazidi kuwekeza kwa wingi nchini hivyo wanafanya jitihada za kusamba za gesi katika mkoa wa Lindi na Mtwara ilikuendelea kukuza uchumi.
Semina hiyo niya siku moja ambapo ilikuwa na lengo la kuwafundisha waandishi wa habari kujua zaidi sekta ya mafuta na gesi asilia nchini.