Aziz Kilonge Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa kufunga warsha ya mafunzo ya uandishi bora wa tafiti ili kukidhi hitaji la msingi la kuhitimu taaluma ya ununuzi na ugavi iliyoratibiwa na kuendeshwa na Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) kuazia tarehe 21 julai mpaka 25 julai 2014. kwenye ukumbi wa baraza la maaskofu TEC-Kurasini jijini Dar es salaam akiwa katika [icha ya pamoja na wakufunzi, washiriki pamoja na baadhi ya wakuu wa taasisi hiyo .kulia kwake ni Mtendaji Mkuu wa PSPTB Dr. Clemence Tesha, kutoka kushoto ni Dr. E. Tumsifu-mwezeshaji wa washa na Ally Songoro Mkurugenzi wa Mafunzopamoja na washiriki wa warsha hiyo.
Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), kulia kwake ni Mtendaji Mkuu wa (PSPTB) Dr. Clemence Tesha, kutoka kushoto ni Dr. E. Tumsifu-mwezeshaji wa washa na Ally Songoro Mkurugenzi wa Mafunzopamoja na washiriki wa warsha hiyo pamoja na wanawarsha.
Picha ya pamoja ya washiriki na baadhi ya viongozi wa Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) kwa maelezo zaidi kuhusu taarifa mbalimbali za bodi wataalamu wa Ununuzi na Ugavi.