Mkuu wa kikosi cha 44KJ Mbalizi Luten Kanl Malatila akiweka sime kuwakumbuka mashujaa.
Meya wa Jiji la Mbeya Atanas Kapunga akiweka upinde na mshale. |
Chifu wa mkoa wa Mbeya Roketi Mwashinga akiweka shada la maua. |
Viongozi wa Madhehebu ya dini mbalimbali walitoa sala zao za kuwakumbuka mashujaa hao. |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akisalimiana na Mzee Waya. |