Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

JESHI LA POLISI TABORA LINAMSHIKILIA MWANDISHI WA HABARI KWA KOSA LA KUJIFANYA AFISA USALAMA WA TAIFA

$
0
0
Kijana aliyetambulika kwa jina la Musa Mbeko (24) anayedaiwa kuwa ni mwandishi wa habari mkoani Tabora akiwa mikononi mwa Jeshi la Polisi mkoani humo baada ya kujifanya kuwa ni afisa kutoka idara ya usalama wa taifa (TISS). Kijana huyo inadaiwa aliwahi kufanya kazi kituo cha radio cha Voice of Tabora (VOT)  japo uongozi wa VOT umekana kijana huyo kuwa si mwandishi wao na kwamba ulikwisha mfukuza kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo ya Utapeli
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda akiwaonesha waandishi wa  habari kitambulisho kilichokuwa kikitumiwa na Mussa Mbeko akijifanya ni Afisa Usalama wa Taifa. 
Kitamburisho alichokuwa akitumia kijana Musa Mbeko.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles