Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19764

WATU NANE WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KUTOKANA NA TUKIO LA VIUNGO VYA BINADAMU JIJINI DAR

 Wananchi waliofika eneo la tukio wakijaribu kuweka kumbukumbu....
 Moja ya mguu ulikokuwa kwenye mfuko huo.
Jeshi la Polisi linawashikilia watu wanane kuhusiana na tukio la kuokotwa viungo vya binadamu katika eneo la Bunju A jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amesema kuwa watu wanane wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo.

Kamanda Kova amesema kuwa jopo la Wataalamu saba limeundwa kuchunguza tukio hilo na amethibitisha kuwa viungo vile vilikuwa ni vya maiti,ambavyo hutumika na madaktari kwa elimu ya matibabu na utafiti.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19764

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>