
Msanii wa Colombia Shakira akiwapagawisha mashabiki na Carlinhos Brown.
![Entertainment: A dancer parades with a US flag. The US team won over fans during the tournament with their teamwork and gutsy performances]()





Wasanii Carlos Santana, Wyclef Jean, singers Shakira, Alexandre Pires, Ivete Sangalo na Carlinhos Brown mara baada ya kuperform wakati wa fainali za kombe la dunia 2014.

Msanii Shakira akiwa na mwanae Milan.



Madansa wakifanya vitu vyao.