Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Watoto wa shule ya Ojays Kiddies Zone iliyopo maeneo ya Kinondoni Block 41, wakiwa kwenye chumba cha mapumziko kabla ya kuanza kwa mahafali ya Kaka na Dada zao wa Laura Class kuanzia miaka 4-5 (T-shrits za kijani) yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Regency Park jijini Dar mwishoni mwa juma.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Mkurugenzi wa Shule ya awali ya Ojays Kiddies Zone iliyopo Kinondoni - Block 41, Bi. Debbie Ndulla akiwakaribisha walezi/wazazi na wageni waalikwa kwenye mahafali ya pili ya shule hiyo yaliyofanyika mwishoni mwa juma jijini Dar.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Baadhi ya walimu wa madarasa wakitambulishwa kwa wazazi kwenye mahafali hayo.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Walimu na wanafunzi wa Ojay Kiddies Zone wakitoa burudani kwa wazazi/walezi na waalikwa kwenye sherehe za mahafali hayo.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Wazazi/walezi wakichukua Ukodak wa watoto wao kwenye mahaali hayo.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Mwanaharakati wa Haki za Watoto, Zubeida Masabo akitoa nasaha kwa wazazi/walezi juu ya kuwalinda na haki za msingi ambapo aliwaasa kutenga muda wa kufuatilia maendeleo ya mtoto kila siku, amewashauri wazazi kuwa na taratibu za kutenga muda wa jioni kuzungumza na watoto wao kutokana kukithiri vitendo vya ukatili dhidi ya watoto hali itakayosaidia kubaini vitendo vya uovu.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Mmoja wa wazazi Dr. Isaac Maro akifafanua jambo kwa wazazi/walezi likiwemo suala la afya kwa watoto hasa magonjwa ambukizi kama Tetekuangua (chicken pox) ambapo wazazi wengi wamekuwa na hofu endapo kunatokea mlipuko wa ugonjwa huo kwenye mazingira ya shule wasihofu na kushauri watoto kuendelea kuhudhuria masomo kwani wakiumwa utotoni ni nafuu zaidi kutibika kuliko kuugua ukubwani.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Watoto wa Lantana Class kuanzia miaka 3-4 wa shule ya awali ya Ojays Kiddies Zone wakijitambulisha mbele ya wazazi/walezi kwenye mahafali hayo.