Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

KOMBE LA DUNIA 2014: NIGERIA YADUNGWA 2-0 NA UFARANSA

$
0
0
Error: Nigeria defender Jospeh Yobo inadvertently puts the ball into his own net
Beki wa Nigeria, Jospeh Yobo alijifunga bao dakika za lala salama.
On target: Paul Pogba climbs highest at the back post to give France the lead against Nigeria
 Paul Pogba akirudi juu na kupiga kichwa  akiifungia Ufaransa bao la kwanza dhidi ya Nigeria.

NIGERIA maarufu kama Super Eagles imetupwa nje ya kombe la dunia baada ya
kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Ufaransa usiku huu katika mchezo wa hatua ya 16.

Paul Pogba aliifungia Ufaransa bao la kuongoza katika dakika ya 78, huku
beki wa Nigeria,  Joseph Yobo akijifunga bao katika dakika za lala salama mjini Brasilia.
On the scoresheet: Paul Pogba points to the sky after giving France the lead
 Paul Pogba akinyosha vidole juu baada ya kuifungia Ufaransa
Eyes on the prize: Nigeria goalkeeper Vincent Enyeama desperately attempts to claim the ball
Kipa wa Nigeria, Vincent Enyeama akijaribu kudaka mpira
Skills: Juwon Oshaniwa makes an acrobatic clearance to deny France midfielder Pogba
Juwon Oshaniwa akiruka tikitaka kuosha mpira wa hatari mbele ya kiungo wa Ufaransa, Pogba

Kikosi cha France: Lloris, Debuchy, Varane, Koscielny, Evra, Pogba, Cabaye, Matuidi, Valbuena, Giroud, Benzema.

Wachezaji wa akiba: Ruffier, Landreau, Sakho, Cabella, Griezmann, Mavuba, Mangala, Sagna, Digne, Sissoko, Remy, Schneiderlin.

Mfungaji: Pogba, 78, Yobo OG, 90+2

Kikosi cha Nigeria: Enyeama, Ambrose, Yobo, Oshaniwa, Omeruo, Musa, Onazi, Mikel, Moses, Odemwingie, Emenike.


Wachezaji wa akiba: Ejide, Agbim, Uzoenyi, Gabriel, Egwuekwe, Odunlami, Oboabona, Azeez, Nwofor, Uchebo, Ameobi.


Mwamuzi: Mark Geiger (USA)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles