Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

MWANDISHI FATUMA MATULANGA AMLILIA MWALIMU WAKE NKWAMBI NG'WANAKILALA

$
0
0
Hakuna aliyelichukia darasa lako la Mass Communication pale SAUT, Mwanza ulikuwa mcheshi ukiingia darasani na kafimbo kadogo huku ukikachezesha. Mara ya mwisho tulikutana Katika msiba wa Binti yako, rafiki yangu mpenzi, colleague wangu TBC, tulizoe kuitana WIFI Magoke Nkwabi Ng'wanakilala.  Mwalimu Ukaniambia Your proud na kazi yangu na ni keep it up. Asante mwalimu wangu kwa kufurahia maendeleo yangu. Muda wako wa kuishi nasi umekwisha na umeondoka, kama maisha ya huko yatakupa nafasi ukaonana na binti yako Magoke(Judith) Mwambie i miss her so much. Huwa namkumbuka sana. I can't stop my tears. 

Inna lilah waina ilaih Rajiun mwalimu wangu Nkwabi Ng'wanakilala R.I.P.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>