Wageni mbalimbali waalikwa wakiwa katika hafla ya kumtunuku Tuzo Rais Jakaya Kikwete kutokana na mchango wake wa Uongozi Bora kwa Taasisi Simamizi katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini, ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam juzi.(Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, akizungumza wakati wa hafla ya kumkabidhi Tuzo Rais Jakaya Kikwete kutokana na kutambua mchango wake wa Uongozi Bora kwa taasisi hizo katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini, katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam juzi.
Wageni mbalimbali waalikwa wakiwa katika hafla ya kumtunuku Tuzo Rais Jakaya Kikwete kutokana na mchango wake wa Uongozi Bora kwa Taasisi Simamizi katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini, ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam juzi.
Wageni mbalimbali waalikwa wakiwa katika hafla ya kumtunuku Tuzo Rais Jakaya Kikwete kutokana na mchango wake wa Uongozi Bora kwa Taasisi Simamizi katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini, ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam juzi.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka (kushoto), akizungumza katika hafla ya kumtunuku Tuzo Rais Jakaya Kikwete kutokana na mchango wake wa Uongozi Bora kwa Taasisi Simamizi katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini, ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam juzi kabla ya kumzawadia zawadi ya kinyago, mke wa Rais, Mama Salma Kikwete kutokana na kutambua mchango wake wa kumsaidia Rais katika kufanikisha masuala mbalimbali ya kiuongozi.
Rais Jakaya Kikwete na mkewe, Mama Salma (kulia), wakiwa pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue (kushoto), pamoja na baadhi ya viongozi wa taasisi simamamizi, wakati wa hafla ya taasisi hizo kumtunuku Tuzo Rais kutokana na Uongozi wake Bora kwa Taasisi Simamizi katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka (kushoto), akimkabidhi mke wa Rais, Mama Salma Kikwete, zawadi ya kinyago kutokana na kutambua mchango wake wa umsaidia Rais katika kufanikisha masuala mbalimbali ya kiuongozi, wakati wa hafla ya kumtunuku Rais Jakaya Kikwete kutokana na mchango wake wa uongozi bora kwa Taasisi Simamizi katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini, Dar es Salaam juzi.
Wageni mbalimbali waalikwa wakiwa katika hafla ya kutunukiwa Tuzo Rais Jakaya Kikwete kutokana na mchango wake wa uongozi bora kwa Taasisi Simamizi katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini, ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam juzi.
Wageni mbalimbali waalikwa wakiwa katika hafla ya kutunukiwa Tuzo Rais Jakaya Kikwete kutokana na mchango wake wa uongozi bora kwa Taasisi Simamizi katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini, ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam juzi.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh (kushoto), akikiangalia pamoja na Rais Jakaya Kikwete, Kitabu kinachoitwa Serikali ya Awamu ya Nne na Ujenzi wa Taasisi Simamizi, chenye maelezo mbalimbali kuhusu mchango wa Rais Jakaya Kikwete na Serikali yake kwa taasisi hizo katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini wakati wa kumkabidhi Tuzo Rais kutokana na mchango wake wa uongozi bora kwa taasisi hizo, ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam juzi.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh (kushoto), akikiangalia na kutoa maelezo kwa Rais Jakaya Kikwete, Kitabu kinachoitwa Serikali ya Awamu ya Nne na Ujenzi wa Taasisi Simamizi, chenye maelezo mbalimbali kuhusu mchango wa Rais Jakaya Kikwete na Serikali yake kwa taasisi hizo katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini wakati wa kumkabidhi Tuzo Rais kutokana na mchango wake wa uongozi bora kwa taasisi hizo, ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam juzi.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh (kushoto), akizungumza wakati wa hafla ya kumkabidhi Tuzo Rais Jakaya Kikwete (kulia), Dar es Salaam juzi, kutokana na mchango wake wa uongozi bora kwa Taasisi Simamizi katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini. Hafla hiyo, ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, jijini juzi.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh (kushoto), akimkabidhi tuzo Rais Jakaya Kikwete kutokana na mchango wake wa uongozi bora kwa Taasisi Simamizi katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini. Hafla hiyo, ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam juzi. Taasisi hizo ni pamoja na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA), Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB), Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Mamlaka ya Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali (IAGD) na Sekretariet ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh (kushoto), akimkabidhi tuzo Rais Jakaya Kikwete kutokana na mchango wake wa uongozi bora kwa Taasisi Simamizi katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini. Hafla hiyo, ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam juzi.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh (kushoto), akisoma maelezo yaliyokuwa yameandikwa kwenye Tuzo wakati wa kumkabidhi tuzo hiyo, Rais Jakaya Kikwete kutokana na mchango wake wa uongozi bora kwa Taasisi Simamizi katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini. Hafla hiyo, ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam juzi.
Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika hafla hiyo, mara baada ya kutunukiwa tuzo hiyo ya uongozi bora katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini. Hafla hiyo, ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam juzi.
Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika hafla hiyo, mara baada ya kutunukiwa tuzo hiyo na Taasisi Simamizi nchini.
Wageni mbalimbali waalikwa wakicheza muziki uliokuwa ukiporomoshwa na bendi ya King Kiki katika wimbo wake wa Kitambaa cheupe, wakati wa hafla hiyo, ya kumtunuku Tuzo Rais Jakaya Kikwete kutokana na mchango wake wa uongozi bora kwa Taasisi Simamizi katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini, ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam juzi.
Bendi ya King Kiki ikitumbuiza kwa wimbo wake wa Kitambaa cheupe, wakati wa hafla hiyo, ya kumtunuku Tuzo Rais Jakaya Kikwete kutokana na mchango wake wa uongozi bora kwa Taasisi Simamizi katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini, ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam juzi.
Wageni mbalimbali waalikwa wakicheza muziki uliokuwa ukiporomoshwa na bendi ya King Kiki katika wimbo wake wa Kitambaa cheupe, wakati wa hafla hiyo, ya kumtunuku Tuzo Rais Jakaya Kikwete kutokana na mchango wake wa uongozi bora kwa Taasisi Simamizi katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji nchini, ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam juzi.
Wageni mbalimbali waalikwa wakicheza muziki uliokuwa uliokuwa ukiporomoshwa na Bendi ya King Kiki katika wimbo wake wa Kitambaa cheupe, wakati wa hafla hiyo, ya kumtunuku Tuzo Rais Jakaya Kikwete kutokana na kutambua mchango wake kwa Taasisi Simamizi katika kuimarisha Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam juzi.