Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

SHANGWE ZA KILIMANJARO MUSIC TOUR 2014, SONGEA

$
0
0

Wakazi wa mji wa Songea waliojitokeza kwa wingi kuhudhuria katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Maji Maji, Songea Jumapili Juni 15, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni la nne kati ya kumi yatakayofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ben Pol akitoa burudani kwa wakazi wa mji wa Songea waliojitokeza kwa wingi kuhudhuria katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Maji Maji, Songea Jumapili Juni 15, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni la nne kati ya kumi yatakayofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Diamond Platinumz akiimba sambamba na shabiki wake alipanda jukwaani kuchukua nafasi ya Msanii Ney Wa Mitego kuimba wimbo ‘Muziki Gani?’ katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Maji Maji, Songea Jumapili Juni 15, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni la nne kati ya kumi yatakayofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Diamond Platinumz akiwapagawisha mashabiki wa wakazi wa mji wa Songea katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Maji Maji, Songea Jumapili Juni 15, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni la nne kati ya kumi yatakayofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Diamond Platinumz akicheza sambamba na mchumba wake msanii wa bongo movie, Wema Sepetu katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Maji Maji, Songea Jumapili Juni 15, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni la nne kati ya kumi yatakayofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki na Afrika kwa Ujumla, Bi. Khadija Omary Kopa akitoa burudani ya Kikwetu Kwetu katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Maji Maji, Songea Jumapili Juni 15, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni la nne kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, wa mjini Kigoma Linex Mjeda akiwapagawisha mashabiki wa wakazi wa mji wa Songea katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Maji Maji Jumapili Juni 15, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni la nne kati ya kumi yatakayofanyika katika mikoa mbali mbali nchini
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Mwasiti akiimba sambamba na shabiki wake katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Maji Maji, Songea Jumapili Juni 15, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni la nne kati ya kumi yatakayofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Kikundi cha Ngoma za Asili toka mjini Songea kijulikanacho kwa jina la ‘Ruvuma King’ kikiwajibika kutoa burudani ya Kikwetu Kwetu katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Maji Maji, Songea Jumapili Juni 15, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni la nne kati ya kumi zitakazofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Wakazi wa mji wa Songea na vitongoji vyake katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Maji Maji, Songea Jumapili Juni 15, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni la nne kati ya kumi yatakayofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ommy Dimpoz akiwapagawisha mashabiki wa wakazi wa mji wa Songea katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Maji Maji, Songea Jumapili Juni 15, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni la nne kati ya kumi yatakayofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Nguli wa Muziki wa Kizazi Kipya ambaye ni mzaliwa wa Songea, Joseph Haule akiimba pamoja na kikundi cha Ngoma za Asili toka mjini Songea kijulikanacho kwa jina la ‘Ruvuma King’ katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Maji Maji Jumapili Juni 15, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni la nne kati ya kumi yatakayofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Nguli wa Muziki wa Kizazi Kipya ambaye ni mzaliwa wa Songea, Joseph Haule akiwauliza wakazi wa mji wa Songea  hapo vipi???
Nguli wa Muziki wa Kizazi Kipya atoa burudani sambamba na mdogo wake Coriombi ambaye anamuandaa kumrithisha mikoba yake katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Maji Maji Jumapili Juni 15, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni la nne kati ya kumi yatakayofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Shilole a.k.a Shishi Baby akiendeleza kutoa burudani huku akiwa sambamba na wacheza shoo wake waliowazungusha kikwetu kwetu wakazi wa mji wa Songea katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Maji Maji Jumapili Juni 15, 2014. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ni la nne kati ya kumi yatakayofanyika katika mikoa mbali mbali nchini.
Wasanii wa Kundi la Weusi linaloundwa na Joh Makini, Nikki 2, G-Nako toka Kaskazini mwa Tanzania, Jijini Arusha wakitoa burudani kwa wakazi wa mji wa Songea na vitongozi vyake waliohudhuria katika Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Maji Maji, Songea Jumapili Juni 15, 2014. Kundi hili limeonekana kukonga vyema nyoyo za mashabiki wa Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililoanzia mjini Moshi, Mwanza, Kahama na Songea na kudhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Washereheshaji wa Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014, ambao pia ni watangazaji wa East Africa Radio, Zembwele (kushoto) na Dullah (Kulia) wakiwajibika ndani ya Uwanja wa Maji Maji, Songea Jumapili Juni 15, 2014.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>