Neymar alifunga tena bao la pili katika dakika ya 34.
Joel Matip (katikati) akishangilia bao lake la kusawazisha dhidi ya Brazil
Wachezaji wa Cameroon wakishangilia bao lao.
Nyota kinda wa Brazil, Neymar akifunga bao la kuongoza katika dakika ya 17
Dani Alves (kushoto), David Luiz wakiungana na Neymar kushangilia bao.
Hapa chini ni vikosi vya timu zote na viwango vya wachezaji. Alama ni chini ya 10.
Kikosi cha Cameroon:
Itandje 6; Nyom 5.5, Nkoulou 5.5, Matip 6, Bedimo 5; Mbia 6, Nguemo 6,
Enoh 6.5; Choupo Moting 6 (Makoun 80, 5.5), Aboubakar 5.5 (Webo 71, 6),
Moukandjo 6 (Salli 57, 5).
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Feudjou, Assou-Ekotto, Djeugoue, Nounkeu, Eto'o, Chedjou, Webo, Fabrice, N'Djock.
Kadi ya njano: Enoh, Mbia
Mfungaji wa goli: Matip 26'
Kikosi cha Brazil:
Julio Cesar 6; Alves 6, Silva 6, Luiz 6, Marcelo 5.5; Paulinho 5
(Fernandinho 45, 7.5), Luiz Gustavo 6.5, Oscar 6; Hulk 6 (Ramires 63,
5.5), Neymar 8 (Willian 71, 6); Fred 6.5
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Jefferson, Dante, Maxwell, Henrique, Hernanes, Bernard, Jo, Maicon, Victor.
Wafungaji wa Magoli: Neymar 17, 34', Fred 49', Fernandinho 84'
Idadi ya watazamaji: 69,112
Mchezaji bora wa mechi: Neymar
Mwamuzi: Jonas Eriksson (Sweden) 6.5